Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua vMaendeleo ya Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino.

Muonekano wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelzo kutoka kwa Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino,  Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.