Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika Katika Dua ya Kitaifa pamoja na dhifa ya Chakula cha Mchana na Watoto Yatima Viwanja vya Mao Zedung Unguja leo 11-7-2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili katika viwanja vya Mao Zedung kuhudhuria hafla ya Dua ya Kitaifa pamoja na Dhifa ya Chakula cha Mchana kwa ajili ya Watoto Yatima, iliyoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundatio Zanzibar. 
WATOTO Yatima kutoka Madrasatul Noor wakisoma dua maalum ya kuoimba Nchi wakati wa hafla ya Dua ya Kitaifa pamoja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto yatima, kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar, iliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 11-7-2022
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Dua ya Kitaifa pamoja na dhifa ya Chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima,kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar, katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Kombo Shaib na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan, wakiitikia dua.
Mwenyekiti wa Kamati Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib akisoma risala wakati wa hafla ya Dua ya Kitaifa pamoja na Dhifa ya Chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima iliyofanyika katika Viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhutubia hadhara hiyo katika hafla ya Dua ya Kitaifa na Dhifa ya Chakula cha mchana kwa ajili ya Wototo Yatima iliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.

BAADHI wa Wageni waalikwa katika hafla ya Dua ya Kitaifa pamoja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya watoto yatima kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar, iliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo leo 11-7-2022
WATOTO Yatima wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Dua ya Kitaifa ya kuoimba Nchi wa hafla ya Dua ya Kitaifa pamoja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto yatima, kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar, iliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 11-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Picha na Mwenyekiti wa Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, baada ya kumalizika kwa Dua ya Kitaifa pamoja na Dhifa ya Chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima, kilichofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 11-7-2022
Watoto Yatima wakipata chakula cha mchana baada ya kumalizika kwa Dua ya Kitaifa pamaja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima, kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja
Watoto Yatima wakipata chakula cha mchana baada ya kumalizika kwa Dua ya Kitaifa pamaja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima, kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja
Watoto Yatima wakipata chakula cha mchana baada ya kumalizika kwa Dua ya Kitaifa pamaja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima, kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mtoto Yatima Fatma Ali Haji akiwa amebebwa na mwanakamati Bi Raya Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya Dua ya Kitaifa na dhifa ya Chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto Yatima kilichoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar, katika viwanja vya Mao Zedung Unguja leo 11-7-2022, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwa amembeba Mtoto Yatima Fatma Ali Haji, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watoto Yatima na Viongozi wa Kamati Dua ya Kitaifa pamoja na dhifa ya chakula cha mchana kwa ajili ya Watoto yatima iliyoandaliwa na Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar,iliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong leo 11-7-2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.