Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amewaapisha Wajumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipamgo Mhe.Saada Mkuya  Salum kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti na Uchumi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tausi Mbaga Kida kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said.
[Picha na Ikulu] 13/08/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.