Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto baada ya kuwasalimia, baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwa Boko Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-8-2022.
SHULE ZA MSINGI 3 KUJENGWA LUDEWA
-
Na. Damian Kunambi, Njombe.
Kutokana na baadhi ya wananchi wilayani Ludewa mkoani Njombe kuishi katika
maeneo ya pembezoni na kupelekea watoto kutembea ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment