Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashuhudia utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China Bw. Zhang Junle Le.(hayupo pichani) akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Barabara za Mjini Magharibi zaidi ya  Kilomita Mia moja ,  wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Dkt.Mwinyi Talib Haji na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt.Khalid  Salum Mohammed, wakifuatilia  utiaji wa Saini ya ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja zaidi ya kilomita Mia Moja, zitakazojengwa na Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja zaidi ya Kilomita Mia Moja, zitakazojengwa na Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu  (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa upande wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar  amesaini Katibu Mkuu  wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab na kwa upande wa Kampuni ya CCECC kutoka China amesaini Mkurugenzi Muendeshaji Bw. Zhang Junle Le, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)  
BAADHI ya Mawaziri na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia  Utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika  Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa saini , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia  Utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika  Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa saini , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali  Mwinyi  akizungumza baada ya utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi. Khadija Khamis Rajab na kwa Kampuni ya  CCECC amasaini Mkurugenzi Muendeshaji Bw. Zhang Junle Le, hafla hiyo imefanyika leo 6-8-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.