Habari za Punde

Katibu Mkuu wa Chana Cha Mapinduzi Daniel Chongolo Amekutana na Kuzungumza na Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Truong Quang Hoai Nam (kushoto) pamoja na Wajumbe kutoka vyama vyote viwili katika kikao kilichofanyika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimpatia zawadi ya kinyago chenye maana ya umoja Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Truong Quang Hoai Nam (kushoto) mara baada ya kumaliza kikao kilichofanyika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Truong Quang Hoai Nam (kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Truong Quang Hoai Nam (kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Truong Quang Hoai Nam (kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.