Habari za Punde

Majaliwa Afungua Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha leo  Septemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira Paul  Okumu ambaye ni Kipa  wa timu ya soka ya  Shule ya Sekondari  Upili  ya   High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  timu ya soka ya Shule ya Sikondari   Upili ya High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua timu ya soka ya Shule ya sekondari Kiwila ya  Tanzania wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa  mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye uwanja wa  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Baadhi ya washiriki wa  mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye uwanja wa  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Baadhi ya washirki wa  mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakti alipozungumza kwenye uwanja wa  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.