Habari za Punde

Wachezaji wa Timu za KMKM na Kipanga watinga Baraza la Wawakilishi

Wachezaji wa Timu ya Kipanga wakimsikiliza Waziri wa Habari,  Vijana ,Utamaduni na Michezo  Tabia Mauli Mwita (hayupopichani) wakati walipofika katika Ukumbi waBaraza la Wawakilishi njekidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.
 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibari Abdullatif Ali Yassin akitowa neno la shukurani mara baada yakukabidhiwa fedha taslim viongozi wa timu ya mpira wa Miguu ghafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar,
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita akizungumza na wachezaji wa Timu  ya Kipanga na KmKm) zitakazoshiriki katika Mashindano  ya Mpira wa miguu  Nje ya Zanzibar (kulia) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma, (kushoto) Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar Abdullatif Ali Yassin.Picha na Miza Othaman -Maelezo Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akitowa nasaha kwa wachezaji watakaoshiriki katika mchezo wa mpira wa miguu mara walipowasili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Nje kidogo ya mji wa Zanzibar  (kushoto) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar bia Maulid Mwita na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassor Salum Jazera. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akimkabidhi Fedha Katibu wa Timu ya Kmkm amabe pia Afisa michezo Sheha Mohammed Ali kwaaji ya mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu waliyofika Ukumbi wa  Barazani la wawakilishi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanziba.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akimkabidhi Fedha  Kanali Selenga Salum Nugoba kutoka timu ya Kipanga kwa ajili ya mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu katika ghafla iliyofanyika Ukumbi wa  Barazani la wawakilishi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.