Habari za Punde

Timu ya KMKM na Kipanga Zapigwa Jeki Ushiriki wa Michuano ya Kimataifa

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akimkabidhi Fedha Katibu wa Timu ya Kmkm amabe pia Afisa michezo Sheha Mohammed Ali kwaaji ya mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu waliyofika Ukumbi wa  Barazani la wawakilishi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akimkabidhi Fedha  Kanali Selenga Salum Nugoba kutoka timu ya Kipanga kwaaji ya mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu katika ghafla iliyofanyika Ukumbi wa  Barazani la wawakilishi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibari Abdullatif Ali Yassin akitowa neno la shukurani mara baada yakukabidhiwa fedha taslimu viongozi wa timu ya mpira wa Miguu Zanzibar,  ghafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi njekidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita akizungumza na wachezaji wa Timu  ya Kipanga na KmKm) zitakazoshiriki katika Mashindano  ya Mpira wa miguu  Nje ya Zaznibar (kulia) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma, (kushoto) Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar Abdullatif Ali Yassin
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akitowa nasaha kwa wachezaji watakaoshiriki katika mchezo wa mpira wa miguu mara walipowasili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Nje kidogo ya mji wa Zanzibar  (kuklia) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar.Tabia Maulid Mwita na (kushoto)Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassor Salum Jazira 
Wachezaji wa Ti mu ya Kipanga wakimsikiliza Waziri wa Habari,  Vijana ,Utamaduni na Michezo  Tabia Mauli Mwita (hayupopichani) wakati walipofika katika Ukumbi waBaraza la Wawakilishi njekidogo ya Mji wa Zanzibar.
Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.