Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Mtawala wa Oman Mhe Sultan Haitham bin Tariq

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi,  akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Oman, leo mapema asubuhi amekutana na Mtawala wa Oman Mhe. Sultan Haitham bin Tariq.  

Mazungumzo hayo mafupi yalifanyika katika kasri la Sultani la Al Barakah.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.