Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ashiriki Katika Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya Kuwaombea Wazee wa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Amini Salmini Amour, alipowasili katika Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua kuwaombea Wazee wa Kijiji hicho iliyofanyika baada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na Waziri wa Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Alhaj Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman 
Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishiriki kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Kisomo cha Hitma na Dua kuwaombea Wazee wa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti huo, na kufuatiwa na Maulid ya kusherehekea kuzaliwa na Mtume Muhammad (SAW) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman na Bw. Amani Salimini Amour.
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishiriki katika kisomo cha Hitma na dua ya kuwaombea Wazee wa Kijiji cha Kodombo Mkoa wa Kaskazini Unguja kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa.

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Rais w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kidombo baada ya kumalizika Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua kuwaombea Wazee wa Kidombo, dua hiyo iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja.


Rais w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kidombo baada ya kumalizika Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua kuwaombea Wazee wa Kidombo, dua hiyo iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.