Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi leo jioni hii ya tarehe 11 Oktoba 2022, akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscat Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said ambapo pia alikagua gwaride lililoandaliwa na jeshi la Oman.
Dk Mwinyi anaanza ziara ya kikazi ya siku nne nchini Oman kwa mwaliko wa Mheshimiwa Sultan Haitham bin Tariq Al Said -Sultani wa Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na mwenyeji wake Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Nchini Oman leo 11-10-2022, kwa ziara ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Oman leo 11-10-2022, kuaza ziara yake ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiwatambulisha Ujumbe wake kwa Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Nchini Oman leo 11-10-2022, kwa ziara ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiwatambulisha Ujumbe wake kwa Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Nchini Oman leo 11-10-2022, kwa ziara ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiongoza na mwenyeji wake Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Nchini Oman leo 11-10-2022, kwa ziara ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiwa na mwenyeji wake Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Oman na Tanzania alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Nchini Oman leo 11-10-2022, kwa ziara ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na mwenyeji wake Naibu Waziri Mkuu wa Oman anayeshughulikia masuala ya Kimataifa, Mheshimiwa Sayyid Asa'ad bin Tariq Al Said, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mascat Nchini Oman leo 11-10-2022, kwa ziara ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mh. Sayyid Bader Hemed Albusaidi, katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Oman.
No comments:
Post a Comment