Habari za Punde

Balozi wa Tanzania Nchini Austria atembelea Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST)

Balozi wa Tanzania Nchini Austria Celestine Joseph Mushi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST), kuhusu mambo mbali mbali ya elimu, hafla iliyofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.

Balozi wa Tanzania Nchini Austria Celestine Joseph Mushi akitoa nasaha kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST), wakati alipofika katika Taasisi hiyo huko Mbweni Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO -KIST

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.