Habari za Punde

Kamati ya wanahabari yaendelea na ziara Hoteli ya Zuri Kendwa

Mratibu wa mradi wa mbolea pia ni muazilishi wa kampuni ya Zuri  Hemed Mwinyichande kutoka Hoteli ya Zuri iliyopo Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwakaribisha wanakamati na waandishi  waliyofika katika Hoteli hiyo kwa lengo la kujuwa wanavyotunza na kuhifadhi mazingira hotelini hapo.
Taka zilizokuwa tayari kwaajili ya mbolea Kendwa Kaskazini ‘A’ Unguja Zanzibar.
Msaidizi wa usanifu taka Mbaraka akitowa maelezo kwa waandishi wa habari jinsi wanavyohifadhi taka nakutumika kwaajili ya mbolea kwa wakulima  huko hoteli ya Zuri Kendwa Kaskazini ‘A’ Unguja Zanzibar.
Msaidizi wa usanifu taka Mbaraka akionyesha mafunza yanayolainisha taka kwaajili ya mbolea katika hoteli ya Zuri Kendwa Kaskazini ‘A’ Unguja Zanzibar.

Mratibu wa mradi wa mbolea pia ni muazilishi wa kampuni ya Zuri  Hemed Mwinyichande kutoka Hoteli ya Zuri pamoja kamati ya kuhifadhi mazingira na waandishi wa habari Kendwa Kaskazini ‘A’ Unguja Zanzibar.           

 Mratibu wa mradi wa mbolea pia ni muazilishi wa kampuni ya Zuri  Hemed Mwinyichande kutoka Hoteli ya Zuri akiwapa maelezo waandishi wa habari na kamati ya uhifadhi mazingira mara baada kutembelea hoteli hiyo Kendwa Kaskazini ‘A’ Unguja Zanzibar.

 Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.