Habari za Punde

Makamo wa kwanza wa Rais Mhe Othman mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya chanjo, polio na surua /rubella Masingini

Waziri wa Afya Mh. Nassor Ahmed Mazrui akimkaribisha Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibr Mh. Othman Massoud Othman mara alipofika katka uzinduzi wa kamapeni ya chanjo,polio na surua /rubella  huko skuli ya msingi Masingini Wilaya ya Magharib “A” Unguja.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanziba Mh, Othman Massoud Othman akiwahutubia wananchi na wanafunzi waliyofika katika uzinduzi wa kampeni ya chanjo,polio na surua /rubella  huko skuli ya msingi Masingini Wilaya ya Magharib “A” Unguja.
Mwakilishi kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni  (WHO) Dk. William Mwengee akiwahutubia wananchi na wanafuzni walitofika katika uzinduzi wa kampeni ya chanjo,polio na surua /rubella  huko skuli ya msingi Masingini Wilaya ya Magharib “A” Unguja.
 Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgeni rasmin (hayupo pichani) walifika katka Uzinduzi wa Kampeni ya chanjo ya Polio Shurua /Rubella huko skul ya msingi Masingini. kampeni ya chanjo,polio na surua /rubella  huko skuli ya msingi Masingini Wilaya ya Magharib “A” Unguja.

 Wanafunzi na walimu wakishangiria mgeni rasmin wakati alipofika katika uinduzi wa kampeni ya chanjo,polio na surua /rubella  huko skuli ya msingi Masingini Wilaya ya Magharib “A” Unguja.

Picha na Miza Othman -Maelezo Zanzibar

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.