Habari za Punde

Mke Wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Amekabidhi Vifaa vya Kilimo cha Mwani

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na Viongozi mara alipowasili kijiji cha   Pwanimchangani  jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja  wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani leo kwa kikundi cha "VIJANA TUJIAJIRI NA UCHUMI WA BULUU"
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na mshika fedha wa kikundi cha "VIJANA TUJIAJIRI NA UCHUMI WA BULUU" Ndg.Raya Nyange Ali mara alipowasili kijiji cha   Pwanimchangani  jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja  wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani leo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (wa pili kushoto) alipokuwa  akimkabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani Mshika fedha wa kikundi cha "VIJANA TUJIAJIRI NA UCHUMI WA BULUU" Ndg.Raya Nyange Ali,(kushoto) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja  Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud,(kulia) Mjumbe wa Bodi ya ZMBF Dkt.Mwatima Abdalla Juma na Mkuu wa Wilaya Kaskazini "B"Unguja Mhe.Sadifa Juma Khamis,akiwa ziara ya  kukabidhi vifaa mbali mbali vya zao la Kilimo cha mwani 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (kushoto) alipokuwa  akimkabidhi  Mshika fedha wa kikundi cha "VIJANA TUJIAJIRI NA UCHUMI WA BULUU" Ndg.Raya Nyange Ali,(wa pili kulia) Mashine ya kusagia mwani Leo(katikati) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja  Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud,(kulia)Mkuu wa Wilaya Kaskazini "B"Unguja Mhe.Sadifa Juma Khamis ,akiwa ziara ya  kukabidhi vifaa mbali mbali vya zao la Kilimo cha mwani
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na Wazee katika kiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja katika sherehe ya kukabidhi vifaa vya mwani Bw.Jaku Ali Khamis na Haji Ali Khamis (katikati) akiwepo na Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud,(kushoto
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" alipokuwa  akitoa Hutuba yake kwa Wananchi wa Kijiji cha Pwani mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo  wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani
Wananchi  wa Kijiji cha Pwani mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza na kumpongeza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" alipokuwa  akitoa Hutuba yake kwa Wananchi hao leo  wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" alipokuwa  akitoa Hutuba yake kwa Wananchi wa Kijiji cha Pwani mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo  wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani kwa Kikundi cha "VIJANA TUJIAJIRI NA UCHUMI WA BULUU" wanaojishuhulisha na Kilimo hicho,07/11/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.