RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, alipofika Ikulu
Jijini Zanzibar na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT kwa mazungumzo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu leo 7-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT,ukiongozwa na
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais)
walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo
7-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens
Luoga (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu
Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-11-2022
No comments:
Post a Comment