Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Lela Muhamed Mussa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India Nchini Tanzania bwana Shabu K George ofisini kwake Mazizini Unguja kwa lengo la kufanya mazungumzo juu ya ufunguzi wa Chuo cha Teklonogia kwa upande wa Zanzibar
No comments:
Post a Comment