Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti CCM Dk Hussein Mwinyi azungumza na WanaCCM kisiwani Pemba uwanja wa Tibirinzi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia WanaCCM na Wananchi wa Mikoa ya Pemba alipofika  kutoa shukurani zake katika Uwanja wa Tibirinzi  leo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

Wanachama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mikoa ya Pemba wkimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia WanaCCM hao leo   katika Uwanja wa Tibirinzi  alipotoa shukurani zake  kwa kuchaguliwa   katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.