Habari za Punde

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM awasili Pemba kwenye ziara ya kuwashukuru wanaCCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa skafu katika mapokezi maalum mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala (Mabodi).wakifuatana mara baada yakuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022. 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi  wa wakiwa katika  mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pema leo kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa ya Pemba  waliofika kumlaki katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya Chake chake Pemba leo alipofika  kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

Vijana wa UVCCM Tawi la Kichungwani Chakechake na Jimbo la Chonga linalompongeza Dk.Mwinyi "Hakika wewe ni Kiongozi Jasiri,Hongera CCM" ambapo walifuatana na masfara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo wakati wa mapokezi yake kwa WanaCCM na Wananchi wa Mikoa ya Pemba alipofika kuwashukuru Kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022.

Baadhi ya Wananchama wa CCM na wananchi waliojipanga pembezoni mwa Barabara  wakiwa katika mapokezi wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitokea uwanja wa ndege wa Pema kuelekea viwanja vya Tibirinzi  ambako atazungumza na kutoa shukurani zake kwa kuchaguliwa kwake  katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu] 17/12/2022. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.