Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bi.Dogo Iddi Mbarouk akizungumza na kutowa maelezo ya Jumuiya yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa Ndg.Maganya Fadhil, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 19-12-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa. Ndg. Maganya  Fadhil alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na kujitambulisha na kumpngeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 19-12-2022, na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya (CCM) Taifa  Bi.Dogo Iddi Mbarouk.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndg. Maganya Fadhil (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 19-12-2022.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.