Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais wa Marekani Joe Biden, Ikulu ya Marekani


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Marekani Joe Biden mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Marekani Jijini Washington D.C. tarehe 14 Desemba, 2022. Kulia ni Jill Biden Mke wa Rais wa Marekani Joe Biden

1 comment:

  1. Asanteeeee Rais wetu mpendwa nakuonbea safari njemaaaa Mungu awatanguliee

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.