Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Afrika Kusini alipoutembelea Ubalozi huo ulioko jijini Pretoria, Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi na wa pili kulia ni Kaimu Balozi wa Afrika Kusini Balozi, Peter Shija.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Afrika Kusini alipoutembelea Ubalozi huo ulioko jijini Pretoria, Desemba 30, 2022. wa kwanza kulia ni Kaimu Balozi wa Afrika Kusini Balozi, Peter Shija
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Afrika Kusini alipoutembelea Ubalozi huo ulioko jijini Pretoria Ijumaa Desemba 30, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment