Habari za Punde

Makamu wa Rais Dk Mpango mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Kwale, Chakechake


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, Wananchi wa Pemba pamoja na Wanafunzi mara baada ya Ufunguzi rasmi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea zawadi ya mfano wa mlango unaopatikana Zanzibar  kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Lela Muhammed Mussa mara baada ya Ufunguzi rasmi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Ufunguzi rasmi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Kwale mara baada ya ufunguzi wa shule hiyo leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea zawadi ya mavazi yanayovaliwa Kisiwani Pemba  kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Lela Muhammed Mussa mara baada ya Ufunguzi rasmi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea zawadi ya mavazi yanayovaliwa Kisiwani Pemba  kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Lela Muhammed Mussa mara baada ya Ufunguzi rasmi wa Skuli ya Msingi ya Kwale iliopo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 09 Januari 2023 ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.