Habari za Punde

Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (Wapili kulia)akipata maelezo kutoka kwa Injinia Yahya Said Abdalla kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (katikati)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (kulia)akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kambi ya JKU Bambi -Kim, Luten Kanal Majaliwa Adam Waziri wakati alipotembelea Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa  na Jengo la Ofisi.Katika hafla ya Ufunguzi wa Majengo hayo Bambi Kim .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Mkuu wa Jeshi la kujenga Uchumi (JKU)Kanal Makame Abdalla Daima akitoa hotuba kuhusiana na kuundwa kwa Jeshi hilo katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

aziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.