Habari za Punde

Michuano ya 17 Kombe la Mapinduzi Zanzibar Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Kati ya Namungo FC na Aigle Noir C.S. Timu ya Namungo Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 1--0

Mchezaji wa Timu ya Aigle Noir kutika Nchini Burundi akijaribu kumpita beki wa Timu ya Namungo,wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Timu ya Namungi imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Goli la Timu ya Namungo lilifunga katika kipindi cha pili cha mchezo katika dakika 62 na mchezaji Hassan Kabunda.
chuano ya 17  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.