MENEJIMENTI na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti, Tuzo na Fedha Mfanyakazi Bora wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Afisa Msaidizi wa Utawala.Bi. Yasinta Stephen, wakati wa mkutano wake na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-02023, na (kushoto kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa.Balozi.Tuvako Manongi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi Tuzo,Cheti na Fedha Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro, wakati wa mkutano wake na Manejimenti na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu)
MENEJIMENTI na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Watendaji wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Balozi Tuvako Manongi, baada ya kumalizika kwa mkutano na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu)
TAKUKURU MKOA WA DODOMA YAFUATILIA MIRADI YA BILIONI 50 NA KUFANIKIWA
KUOKOA ZAIDI YA MILIONI 13
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa of wa Dodoma Christopher Myava amesema katika
utendaji kazi wa Takukuru mkoani humo katika kipin...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment