RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.
Prof. Ibrahim Khamis Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan
Abdallah, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma
na Viongozi wa Serikali, alipowasili katika viwanja vya Mahkama Kuu ya Zanzibar
Tunguu Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya
Siku ya Sheria Zanzibar iliyofanyika leo 13-2-2023
MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakiwa katika
viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, wakati ukipingwa
wimbo wa Taifa na wimbo wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya Kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika leo 13-2-2023 katika
viwanj vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Unguja.
JAJI Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Khamis
Juma akizungumza na kutowa salamu wakati wa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya
Siku ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar
Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 13-2-2023.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadham
Abdallah akizungumza katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria
Zanzibar, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi katika
hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya
ya Kati Unguja leo 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Bendera ya Mahkama Zanzibar,
wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika leo
13-2-2023, katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na
(kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Khamis Juma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Ripoti ya Utendaji Kazi wa
Mahkama kwa mwaka 2022, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria
Zanzibar,iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya
Kati Unguja leo 13-2-2023, na (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis
Ramadhan Abdallah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika leo 13-2-2023 katika
viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja

WAKUU wa Mihimili ya Mahkama Tanzania na
Zanzibar pamoja na Watendaji Waandamizi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)
akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,
iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya Kati Unguja
leo 13-2-2023
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar
wakifuatilia hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,
iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja leo 13-2-2023
MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, wakati akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Sheria Zanzibar iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu
Wilaya ya Kati Unguja leo 13-2-2023
WANANCHI na Wafanyakazi wa Hahkama Zanzibar
wakihudhuria hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya
Maadhimisho iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya
ya Kati Unguja leo 13-2-2023
WANANCHI na Wafanyakazi wa Hahkama Zanzibar
wakihudhuria hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya
Maadhimisho iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya
ya Kati Unguja leo 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma baada ya kumalizika kwa hafla ya Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama
Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 13-2-2023.
No comments:
Post a Comment