Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Apiga Marufuku Matumizi ya Kipimo cha Bidoo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kiwanda cha kuchakata mafuta ya mawese cha Trolle Messle Danieli Amulike  moja ya bidhaa itokanayo na zao la Chikichi wakati alipotembelea kiwanda hicho mjini Kigoma Februari 27, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kiwanda cha kuchakata mafuta ya mawese cha Trolle Messle, Danieli Amulike wakati alipotembelea kiwanda hicho hicho, kuona mtambo wa kukaushia mbegu za zao la Chikichi, mjini Kigoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mtambo wa kukamulia mafuta ya mawese na Meneja wa SIDO mkoa wa Kigoma Gervas Ntahamba, alipotembelea viwanda vya kukamua mafuta hayo, kukausha mbegu za chikichi na kiwanda cha kusindika mafuta ya mawese cha Trolle Messle, mjini Kigoma.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.