Habari za Punde

Katibu Mkuu wac CCM Chongolo Awasili Babati Vijiji Kuendelea na Ziara Yake

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wakazi na wanachama wa CCM wa Kata ya Magara mara baada ya kuwasili Wilaya ya Babati Vijijini tayari kwa ziara ya kukagua Uhai wa Chama na kusimamia na kuhimiza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 – 2025.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.