Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Amefungua Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake Skuli ya Sekondari ya Lumumba Unguja

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa tatu kulia) akiwa mgeni rasmi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, wakifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini,(kushoto) Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee. 30/03/2023. 
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Ndg.Mussa Hassan,alipokuwa akizungumza machache na kuwashukuru Taasisi ya World Share ya Korea Kusini kwa kuweza kusaidia ujenzi  wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo ambapo Mgeni rasmi akiwa  Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto)

Mke wa  Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, (kulia)  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na  Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (katikati) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Skuli hiyo

Mke wa  Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi( wa pili kushoto) ,alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mkoba Mwanafunzi Ismaili Ali Ali,Form Five "B" wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba leo katika hafla ya  Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,(katikati)Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa
Baadhi ya Walimu  katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa  Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo Mgeni rasmi alikuwa  Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba wkimsikiliza kwa makini Mke wa  Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli hiyo leo, ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini,  hafla iliyofanyika katika viwanja vya Skuli ya Lumumba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba wkimsikiliza kwa makini Mke wa  Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli hiyo leo, ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini,  hafla iliyofanyika katika viwanja vya Skuli ya Lumumba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.