Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Umeaza

Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja umeaza kwa barabara ya mnazi mmoja, ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya ujenzi kutoka China ya CCECC, umeaza kwa kuondoa lami ya zamani kwa ajili ya ujenzi mpya wa barabara hiyo. 




 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.