Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki kwa ajili ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uliozinduliwa leo 10-3-2023. imeenda sambamba na Siku ya Uwekezaji Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soroga wakielekea katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, kwa akili ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar na Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uliozinduliwa leo 10-3-2023. imeenda sambamba na Siku ya Uwekezaji Zanzibar Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 10-3-2023 Jijini Zanzibar.
Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 10-3-2023 Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi wa Benki ya NMB Bw.Filbert Mponzi akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023
Mkurugenzi Mtendaji wa (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff akizungumza na kutowa maelezo ya Kitaalam ya Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) wakati wa Uzinduzi huo uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia na kuuzindua Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa
Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
BAADHI ya Mawaziri na Wageni Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa
Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na
maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa
Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA),
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi
huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
Baadhi ya Mabalozi Wadago wanaofanyia Kazi zao Zanzibar na wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa
Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA),
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi
huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa
Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA),
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi
huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akizindua wa
Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo
uliyofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi Mtendaji wa (ZIPA) Bw.Shariff Ali Shariff.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais.
Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi
Mtendaji wa (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, baada ya kuzindua Muongozo wa
Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji
Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip
Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Songa
, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa
Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, iliyofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023
Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment