Habari za Punde

Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar Washiriki Maonesho ya Utalii Berlin Nchini Ujerumani.Wakiongozwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar.Mhe.Simai Mohammed Said   akiwa katika majadiliano na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dk. Abdalla Possi, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo, Mkurugenzi wa TTB Bw.Damas Mfugale na Mkurugenzi Masoko wa ZCT,wakiwa katika maoenesha ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo akiwa katika majadiliano na Mdau wa Sekta ya Utalii wakati wa Maonesho ya Utalii yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, akiwa katika mazungumzo na Mdau wa Sekta ya Utalii (kulia kwake) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayofanyika Jijini Berlin  Nchini Ujerumani na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo. wakiwa katika maonesho ya Sekta ya Utalii.

Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Mhe.Dkt. Abdalla Possi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar.Mhe.Simai Mohammed Said (kushoto kwake) na Viongozi wa wa Sekta ya Utalii Tanzania, wakiti wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayofanyika Berlin Nchini Ujerumani.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.