RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,
Waziri wa Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita
na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed
Said, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 30
yaSiku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa
hoteli hiyo leo 3-5-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Afisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN) Nchini Tanzania Bi.Nafisa
Didi, alipotembelea maonesho wa machapisho ya vipeperushi mbalimbali wakati wa
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru
wa Vyombo vya Habari Duniani zilizoadhimishwa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
3-5-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo
Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwinti na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Mratibu wa Programu ya Media for SDGS Bi.Ingiahedi Chediel Mduma,
alipotembelea maonesho wa machapisho ya vipeperushi mbalimbali wakati wa
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani,
zilizoadhimishwa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa
Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023, na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid
Mwinti na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na
(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana
Mustafa
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Afisa wa Mawasiliano ya Mitandao –TWAWEZA,Bi.Jane Shussa,
alipotembelea maonesho wa machapisho ya vitabu mbalimbali wakati wa Maadhimisho
ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani zilizoadhimishwa
Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwinti na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais)
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza, Afisa Habari wa Jamii Forums Ndg.Francos Nyonzo, alipotembelea
maonesho wa machapisho ya vitabu mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Miaka 30
ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani zilizoadhimishwa Zanzibar katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwiti na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mwenyekiti wa TAMWA
Tanzania Bi. Joyce Shebe
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza, Afisa Biashara wa Hamasa Media Tanzania Ndg.Emmanuel Ulomi,
alipotembelea maonesho wa machapisho ya vitabu mbalimbali wakati wa Maadhimisho
ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani zilizoadhimishwa
Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwiti na (kulia
kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza, Afisa Programu wa Media Councial of Tanzania Ndg.Paul Mallimbo,
alipotembelea maonesho ya machapisho ya vitabu na vipeperushi mbalimbali wakati
wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani
zilizoadhimishwa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa
Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023, na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid
Mwiti na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na
Mwenyekiti wa TAMWA Tanzania Bi. Joyce Shebe.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza, Mkurugenzi wa TAMWA –Zanzibar Dkt.Mzuri Issa na Mkurugenzi TAMWA
–Tanzania Dkt. Rose Reuben, alipotembelea maonesho wa machapisho ya vitabu na
vipeperushi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari Duniani zilizoadhimishwa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023,
na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar
Mhe. Tabia Maulid Mwiti na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa Kitabu cha Mapendekezo ya Wadau wa Sekta ya Habari Tanzania, na
Mkurugenzi wa TAMWA –Tanzania Dkt. Rose Reuben, wakati akitembelea maonesho ya
Wadau wa Sekta ya Habari Tanzania, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30
ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, iliyoadhimishwa Zanzibar katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023
No comments:
Post a Comment