Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Mhe. Ali Gulam akiwa na Wagombea Ubunge na Udiwani wa Wadi za Jimbo hilo wakiwa katika matembezi kuelekea Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mji Maisara Unguja kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Uteuzi kugombea Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar.

No comments:
Post a Comment