Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya
ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Bujumbura nchini
Burundi leo tarehe 31 Mei 2023.
WATUMISHI REA WAPONGEZWA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamepongezwa kwa kujituma na
kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo
ikiwa...
3 hours ago



No comments:
Post a Comment