Habari za Punde

Ziara ya Mafunzo kwa Maofia Uhusiano wa SMZ na Mashirika

Msaidizi Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Tanzania Rodney Thadues akizungumza na maafisa habari  na maafisa uhusiano wa  Wizara za Serikali ya Zanzibar na mashirika wakati  alipokua akitoa taarifa mbalimbali kuhusianan na utendaji kazi wa Idara hiyo na ushirikiano kati yao na Maafisa Habari wa Serikali ya Tanzania. Maafisa hao kutoka Zanzibar wapo katika Ziara ya kimasomo kuanzia tarehe 19 hadi   23 mwezi huu Jijini Dodoma.

Baadhi ya maafisa habari  na maafisa uhusiano wa  Wizara za Serikali ya Zanzibar na mashirika wakisikiliza taarifa kuhusiana na utendaji kazi wa Idara ya habari maelezo Tanzania  na ushirikiano kati yao na Maafisa Habari wa Serikali ya Tanzania wakati wa ziara yao ya kimasomo iliyoanzia tarehe 19 hadi   23 mwezi huu Jijini Dodoma.

Msaidizi Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Tanzania Rodney Thadues akizungumza na maafisa habari  na maafisa uhusiano wa  Wizara za Serikali ya Zanzibar na mashirika wakati  alipokua akitoa taarifa mbalimbali kuhusianan na utendaji kazi wa Idara hiyo na ushirikiano kati yao na Maafisa Habari wa Serikali ya Tanzania. Maafisa hao kutoka Zanzibar wapo katika Ziara ya kimasomo kuanzia.IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.