Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe Rashid Simai Msaraka ametembelea mabanda mbalimbali wakati wa maonesho ya 4 ya wiki ya Elimu ya Juu yanayoendelea katika viwanja vya Maisara Unguja.
NMB yafadhili ziara ya kibiashara ya wajasiriamali 28 nchini China
-
Na Mwandishi Wetu
Benki ya NMB imefadhili ziara ya kibiashara ya wafanyabiashara 28, ambayo
inalenga kuwapa uzoefu wa moja kwa moja wa masoko ya China...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment