Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru wa
Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah
Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Emmerson
Mnangagwa tarehe 04 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe
Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania
Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF
Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri mara baada ya kuwasili Ikulu
Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Malum wa Rais wa Zimbabwe
ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama
cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 04 Julai, 2023. Mhe. Rais Samia ameitakia kheri Zimbabwe katika
Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti,
2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum
wa Rais wa Zimbabwe ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru na Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri mara
baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum
wa Rais wa Zimbabwe ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru na Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri
pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Naibu
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor
Mbarouk wa tatu kutoka (kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhe. Fatma
Mohammed Rajab wa pili kutoka kulia pamoja na viongozi wengine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiagana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe ambaye ni
Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF
Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Agosti, 2023.
No comments:
Post a Comment