Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aungana na waumini katika Sala ya Ijumaa Masjid Al- Rahmah, Mombasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Masjid Al- Rahmah Mombasa,Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipojumuika na waislamu katika ibada ya swala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)   alipojumuika na Waumini mbalimbli na Viongozi  katika ibada ya swala ya Ijumaa leo  katika Masjid Al- Rahmah Mombasa,Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waumini mbalimbli na Viongozi mara baada ya kumalizika kwa  ibada ya swala ya Ijumaa leo  katika Masjid Al- Rahmah Mombasa,Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/09/2023 
Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria Ibada ya Swala ya Ijumaa leo, Masjid Al- Rahmah Mombasa,Mkoa wa Mjini Magharibi wakiitikia Dua Iliyoombwa baada ya  ibada hiyi iliyojumuisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi mbali mbali. [Picha na Ikulu] 01/09/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  alipokuwa akisalimiana na Khatibu wa Swala ya Ijumaa Masjid Al- Rahmah Sheikh Mussa Ali Mohamed leo mara baada ya kumalizika kwa  ibada hiyo.[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.