Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) leo alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kushoto) kwa pamoja na Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) wakiitikia dua iliyoombwa leo alipofika nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa Wanafamilia hao.[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment