Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi



Maafisa wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania wakiwa katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu] 05/09/2023.  
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya  kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitao hutuba yake leo.[Picha na Ikulu] 05/09/2023
Baadhi ya Wananchi wenye Asili kutoka Nchini Msumbiji,Comoro,Burundi na Ruanda wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa  hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/202

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa wananchi na waalikwa mbali mbali katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2023.

Baadhi ya Wananchi wenye Asili kutoka Nchini Msumbiji,Comoro,Burundi na Ruanda wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa  hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/202
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Abalhassan Mohamed Farouk mwenye asili ya Comoro,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi,viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bi.Agness Benadicto Lucas,mwenye Asili ya Msumbiji mkaazi wa   Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pembe  wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi,viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Mohamed Mzee Mbaba mwenye Asili ya Comoro  ,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Ndg.Karan Mohamed Ali, mwenye Asili ya Comoro  ,Mkaazi wa Kisimamajongoo Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika  viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bi.Halima Idarous Adnan mwenye Asili ya Comoro,mkaazi wa Vikokotoni  Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.