.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe. Rigathi Gachagua mara baada ya kuwasili katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23)
Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa
Nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa kwenye
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23)
unaofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC)
Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na
Wakuu wa Nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa
wakati wa Wimbo wa Umoja wa Afrika (AU) na ule wa Taifa wa Kenya ukiimbwa mara
baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC)
Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa
Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23).
Viongozi
kutoka Mataifa mbalimbali Duniani wakiwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko
ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023

No comments:
Post a Comment