Muonekano wa Jengo la Makao
Makuu ya Umoja wa Posta Afrika mara baada ya kufunguliwa Rasmi na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla
iliyofanyika Philips Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo wakati wakivuta kamba kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta
Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya
Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo
eneo la Philips Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na
Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika
(PAPU) Dkt. Sifundo Moyo pamoja na viongozi wengine wakati wakitazama na
kusikiliza maelezo juu ya Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU
Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na
Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika
(PAPU) Dkt. Sifundo Moyo pamoja na viongozi wengine kwenye picha ya pamoja mara
baada ya kufungua Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo
eneo la Philips Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni katika Ofisi ya
Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo mara baada ya
kufungua Jengo la PAPU Tower, Philips Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Postamasta Mkuu Macrice
Daniel Mbodo wakati akielezea kuhusu Mashine ya ATM ambayo mteja anaweza
kujihudumia mwenyewe katika huduma za posta mara baada ya ufunguzi wa Jengo la
Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips
Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza akimsikiliza Postamasta Mkuu Macrice Daniel Mbodo kuhusiana na huduma mbalimbali za Posta mara baada ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha
Wafanyakazi wa Posta wakiendelea na majukumu yao mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kufungua kufungua Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo wakati alipokuwa akikagua Ofisi mbalimbali zilizopo ndani ya Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza akimsikiliza Postamasta Mkuu Macrice Daniel Mbodo kuhusiana na huduma mbalimbali za Posta mara baada ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha
Wafanyakazi wa Posta wakiendelea na majukumu yao mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kufungua kufungua Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo wakati alipokuwa akikagua Ofisi mbalimbali zilizopo ndani ya Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na
Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta
Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo wakati alipokuwa akikagua Ofisi mbalimbali
zilizopo ndani ya Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower)
Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Habari,
Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo
eneo la Philips Jijini Arusha
No comments:
Post a Comment