Habari za Punde

Shamra shamra za wiki ya Elimu ya watu wazima zaendelea kwa usafi wa mazingira

Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Mbadala wakishiriki katika Usafi wa Mazingira katika Shamra shamra ya maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu wazima ambayo itafikia kilele chake tarehe 07/09 kisiwani Pemba.Hafla iliofanyika katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Zanzibar.

Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Mbadala wakishiriki katika Usafi wa Mazingira katika Shamra shamra ya maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu wazima ambayo itafikia kilele chake tarehe 07/09 kisiwani Pemba.Hafla iliofanyika katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Zanzibar.


Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Mashavu Ahmada Fakih akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika  katika Shamra shamra ya maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu wazima ambayo itafikia kilele chake tarehe 07/09 kisiwani Pemba.Hafla iliofanyika katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Zanzibar.
Mstahiki Mea wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohamed Mussa akitoa hotuba baada ya kumaliza zoezi la usafi wa Mazingira katika Shamra shamra ya maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu wazima ambayo itafikia kilele chake tarehe 07/09 kisiwani Pemba.Hafla iliofanyika katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Zanzibar.
Mstahiki Mea wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohamed Mussa(KATIKATI)akiwa katika Picha ya pamoja na walimu wa skuli ya Mbadala walioshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Shamra shamra ya maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu wazima ambayo itafikia kilele chake tarehe 07/09 kisiwani Pemba.Hafla iliofanyika katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Zanzibar.

Mstahiki Mea wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohamed Mussa(KATIKATI)akiwa katika Picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa skuli ya Mbadala walioshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Shamra shamra ya maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu wazima ambayo itafikia kilele chake tarehe 07/09 kisiwani Pemba.Hafla iliofanyika katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.