Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi walipowasili Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililojumuisha Taasisi mbali mbali na Vikundi vya Wajasiriamali .[Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Pascal Stephano (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis.[Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipata maelezo kuhusu tunda la passion na mazao mwengine kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis.[Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Nuru Mtema (kushoto) wa Taasisi ya Karibu Edu FoundationTanganyika Organic , wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis.[Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipokea zawadi kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (wa pili kulia) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis.[Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Baadhi ya Vikundi vya wajasiria mali walioshiriki katika Tamasha la Kilimo Hai lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Banda la Bidhaa za Mwani katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar ni miongoni mwa washiriki katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma wakati alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai lilifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 27/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofanyika katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 27/09/2023.
No comments:
Post a Comment