Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Amemuwakilisha Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Katika Kilele cha Kitaifa NACOPHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na watu wanaoishi  na Virusi vya ukimwi  alipotembelea banda la Baraza la Watu Wanaoishi  na Virusi vya Ukimwi  Tanzania  (NACOPHA) katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa  wa NACOPHA uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Septemba 7, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi  walioshiriki katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa   Baraza la Watu Wanaoishi  na Virusi vya Ukimwi  Tanzania  (NACOPHA) wakiimba limbo wa taifa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa   Baraza la Watu Wanaoishi  na Virusi vya Ukimwi  Tanzania  (NACOPHA)  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa  wa Baraza la Watu Wanaoishi na Virus vya Ukimwi ( NACOPHA) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.