Mshambuliaji wa Timu ya Maendelea akipiga mpira golini kwa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023-2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedungu.Timu ya Mafunzo imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
MCHAKATO WA NEMC KUWA MAMLAKA WAENDELEA
-
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis
Hamza Khamis akijibu maswali bungeni wakati wa Kikao cha 21 Mkutano wa 19
wa Bun...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment