Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga
Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua
changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara
wadogowadogo wa Samaki wakati alipotembelea Soko la Wamachinga Parking
ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake
Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara wadogowadogo
wakati alipotembelea Soko la Wamachinga Parking ili kujionea na kutatua
changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mchele wakati alipotembelea
Soko la Nzega ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo
wa ziara yake Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mfanyabiashara wa Nyanya
katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko
hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara
yake Mkoani Tabora.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment